Tuesday, March 20, 2007

bidii wangu!

Nimesare!sijui niseme….ati challenge!enyewe ata kabla nianze wacha ni accept na grace…nimechallengiwa!sugu maze! bantuts...respect bratha.pia nyinyi, farmgal, egm, unyc, kirima..na etc. mnajijua
Methu ulitaka post ya sheng…ebu karibisha hii-huu!kingoso tumehama jo! Heh,leo ni leo, wacha tumiscommunicate!
Wadhii mkinicheka mtaniona. marking schemes nimeziban zote woiye.morale morale!
njaro ni za jana usiku…mission ilikuwa tu ya kuget home!

1930-2330hrs: Heh!nilikuwa kwa mkutano nyingine ambaye ilimada la..late. Lakini walitupa dish kiasi ili tusiboycott!wa wa! Kabla ya kudema nilibounce! Sa nilipotoka hapo yani, nilikuwa nimepanga nimpitie beshte wangu mwingine huko down! Nikammeet ,tukabonga, tukacheka. Nilipocheki saa nikaona lo, saa tano na nusu imefika jo! Ooooowwwi! Ndae za public, yani javs za huku, zinaishanga midnight!sijagitch hii system maze!
anyway, mi sina dinga therefore nilmwambia beshte bye, alafu nilimarktime mpaka bus stop nige…niget bus. Kufika keja si itakuwa kitu shua…

2337hrs : Njeve imeingia jo! Najaribu kujienskwonce kwa jacket!lakini bado tako linasikia baridi!bus naiona huuuko!inakam!

2340: ninaingia ndae!manzi mwingine ako nami huku down, unajua huku ni madoubledeka maze!Kisha msee mwingine anakam downstairs ,na sijui alimshow dere nini lakini alitoka hapo akifyatua maexpletive, kushuta kwa mdomo maze, alafu akarudi juu!msee wa doba alimfuata, huku akiimba jamrock. alikaa mfunny!anyway, nafikiria Dere alifura aliposikia hayo mambo sababu alisimamisha ndae!
ala! nini iko mbaya boss?!sa manzi yule mwingine si ameenda kuwika hapo mbele ati tutakuwa late!huku mi nikifikiria githaa beshte!kwani irori imemada kwa tank?dere anasema ati anawacall wakarao!Wah!ati anataka yule msee atoke bus yake au ahandwe!
Si dame bado anapiga makelele zake.lakini ilihave effect sababu Dere alirudia kuanzisha gari!basss, twende.

tick-tock

2350: chali yule mkauzi si anakam down,eti anataka kushuka!si dere anastop na anafungua madoor!wacha Dere anasema sijui nini, mkauzi naye anatan round na anamtemea dere mate!PPPTTTHU! lo! diambo i say!

2350…na sekundi mbili: mkono juu!makofi kwa hewa!chali anamshushia dere ,Dere naye ngeta ka ashu ivi kwake!nilisorora hayo na conclusion yangu ilikuwa msee labda alikuwa amesmoke mbachu au labda amechizi kiasi maze. Nilipomwona ivi alionekana kama hao wavagabondi ambao wanabeba madaga jo. Nilijazwa na adrenalin mpaka misuli zangu zilipanuka! Sasa naonekana buff ka ….ka, jet li polite!Lakini nilikaa hapo kifrozen, nikingethia tu!macho round ka mbao (yani 20bab) nikitazama action huku nikisweat!!manzi yule mwingine anawapigia 5-O!
‘please, heeelp!alikuja tu...amemweka tu…msipokuja jameni atamfyeka tu’

Ata sijakuambia, bus haikuwa imewekwa breaki!mti mmoja iko hapo mbele...ditch tunaikaribia….. ngware nitaiona kwa dala hii!

2355: pap!chali mwingine mchinese ameenda kumsaidia dere!alikuwa bodii yani!alishika mfala yule mpyenga na kumkanda ka mandazi!omundo alirushiwa nje!
Dame yule mwingine kwa simu -‘no its alright… I think the driver is ok…hes off the bus…’.
Chali yule mchinese -‘im fine, crazy guy that one’
dere naye -‘….silence….grunt…’
tunaendelea na journaye!

0003: Tunafika city centre, kisha najua tu nikufyang speedi ka carl lewis ili nifike bus stop yangu!...natoka hio bus ka bullet..tiap!
Nikuhema tu, bile iko nikusikia kutema tu, moyo indunda ka imewaka tu..
niko unift kiasi, so nilipofika bus stop nilikuwa karibu niblaki!
NOOOO!kitu ya aajabu!Nilikuwa late! jav hio ya last ilikuwa imeiva!hakuna ati route nyingine ya kufika home!salala…sikuwa na credit atakumtumia mwenye taxi ‘please call me’. Sa nilienda tu kusimama kwa barabara huku nikifeel kidogo ka kuro!(ai sijawahi stand kwa street corner nyakati ka hizo jameni) taxi ilikam na nilienda home kusugua nyarere juu ya mambo haya yote!

Je, ingekuwa wewe kwa hiyo bus ungefanyeje, ungejinare?

bwana methu...methinks i have tried

disclaimer:if words are out of context...utado!!!nende uchambue io siri jo!

21 comments:

Archer said...

Cough....cough....Ahem.....

FIRST!

Unyc said...

@Archer I c u hv started perfecting ur skills.

SEO!!!

Unyc said...

‘please, heeelp!alikuja tu...amemweka tu…msipokuja jameni atamfyeka tu’
Hii line imenikumbusha chali supuu(si mhank)...Jimwat...
Mapropu yani. Hii risto ni noma. Madrama tena hiyo githaa.inaweza fanya nifeel kind of uneasy. Naweza kuperspirate...huyo msee alikuwa amepewa madrugz nini?

Umejaribu!! Noma!

Methuselah said...

Fourth! Kamutii nitaenda kuongeza!

Majonzi said...

lol!! naona kila mtu ameandika post za sheng'!! Lazima nitie bidii!!

MadsVibe said...

hey, since Shen'g is the in thing now in blogosphere, I will be hoping to bring myself to do at least one post in it. Check the feed

mama shady said...

@archer:uko na homa bratha..benylin itafanya kazi;)
@unyc:ssssh, ebu dont tel anyone. si i had to pata some direction from somewhere(jimwat)sa sijui kama alikuwa high,lakini alionekana mad bana!
@methu:kamutii...hmmm
@majonzi:tia bidii siste!tunangoja!
@madsvibe:heh, shall wait!thanks for visiting!

archer said...

If mama shady can do a post in sheng than SO CAN I!!! My post is up already. Pole for the free advertising but my blog isn't on the aggregator yet.

egm said...

Eh, tumepata storo imejaa drama 24-Style kutoka Manzi Kivuli. Hata mpaka naona Bauer akikupigia simu kukuuliza uwe script write were season 10.

Lakini huyo jamaa alikuwa kweli amevuta kitu

Odegle said...

be careful, sheng is a dangerous tongue that has this peculiar habit of revealing one's age!

...and it sounds horrible when you are speaking 5 year old sheng

Sue said...

Enyewe umeichapilia kiformat ya 24.. mpaka maithaa unawaiana... Enyewe apo umejaribu!! Iyo dramaz ni kalee mresh..

@ odegle ROTFLOL.. Iyo ni kali walai...
Ati 5yr old sheng!!

@ Acher wacha maringo..:.Just Sue.:

Kirima said...

Well done mamashady, Umejimudu kiproper, I can see the revolution has spread.

bantutu said...

Mathe stori ni sawa altho next tome uweke translation...Hihihi!!
Propu na ngumi kwa hewa!! Hihihi!!
Odegle: Tru dat tru dat....

mama shady said...

@archer:5 bab for advertisements!
@odegle:5year old sheng...ebu explain!?i dont think it hints at my age though....hmmm
@egm: no one can say ati i havent watched even one episode now!
@sue:woi!theres apart of your comment i dont gitch...i shall be back...
@kirima:it spread by force..mumble grumble. but im not one to refuse a challenge
@bantuts:translation!lol,i shall...if you dont jua some of these things you must make up a few!si youll do like that for the rest of us as well.

Farmgal said...

I would have stayed in my seat just like you! Siku hizi peeps carry knives, and you wont believe tha rate at which kids are dying. Bless tha chinese guy, was very brave of him!

egm said...

Haha, I kumbuka you are part of our not-going-to-watch-24 gang! So if you don't watch, you might as well live it, ama?

aizoh said...

Ah nimelate lakini, maprops kwa sana mamii. Eh madrama kwa rodi eh?

mama shady said...

@egm:thats the way i tell you!
@aizoh:madrama kweli!and i thought that things were a bit more civilized here...shock

kenyananalyst said...

Sasa! Jst responded to your query on my blog. Barikiwa.

Klara said...

Makofi kwako!! Hi storo ime come out poa sana! Ni kama ile series ya 24
Noma Lakini

Gomajism said...

yaani tuseme umepata nare ya kujidai ati wewe si babi. Poa sana Mamashady. Nimekucheki na umenijazz bila mchezo mob! Hiyo risto ni ya ngu....nguvu mazee kulikuwa na stero no wadhii wengine wa kushikana ngeta...kali kali kabisa!!!!!